01-Hadiyth: Fadhila Za 'Ilmu Na 'Ulamaa: Kutafuta 'Ilmu Ni Fardhi Kwa Kila Muislaam
Hadiyth: Fadhila Za ‘Ilmu Na ‘Ulamaa
Hadiyth Ya 01
Kutafuta ‘Ilmu Ni Fardhi Kwa Kila Muislaam
عن أنس بْنِ مَالِكٍ قَالَ :عن النبيِّ صلَّى اللهُ عليهِ وسلَّم أنه قالَ : (طَلَبُ العِلْمِ فَرِيْضَةٌ عَلَىْ كُلِّ مُسْلِمٍ ) . رواه ابن ماجه
Anas bin Maalik (رَضِيَ اللهُ عَنْهُ) amesimulia: Nabiy (صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّمْ) amesema: “Kutafuta ‘Ilmu ni faradhi juu ya kila Muislaam.” [Ibn Maajah (224), ameisahihisha Shaykh Al-Albaaniy katika Swahiyh Ibn Maajah (Uk 184)].