Skip to main content

Hadiyth: Fadhila Za 'Ilmu Na 'Ulamaa - أَحاديثُ عَنْ فَضْلِ الْعِلْم وَالْعُلَمَاء02-Hadiyth: Fadhila Za 'Ilmu Na 'Ulamaa: Allaah Atamsahilishia Mwenye Kutafuta 'Ilmu Njia Ya Kuingia Jannah

Hadiyth: Fadhila Za ‘Ilmu Na ‘Ulamaa

Hadiyth Ya 02

Allaah Atamsahilishia Mwenye Kutafuta ‘Ilmu Njia Ya Kuingia Jannah

Alhidaaya.com

عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ، قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم ‏ "((مَنْ سَلَكَ طَرِيقًا يَلْتَمِسُ فِيهِ عِلْمًا سَهَّلَ اللَّهُ لَهُ بِهِ طَرِيقًا إِلَى الْجَنَّةِ)) مسلم

 Abu Hurayrah (رَضِيَ اللهُ عَنْهُ) amesimulia: Rasuli wa Allaah (صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّمْ) amesema: “Yeyote anayetoka katika njia akiitafuta kutokana nayo (njia hiyo) ‘Ilmu, Allaah Humfanyia sahali njia ya kuingia Jannah (Pepon).” [Muslim]