Skip to main content

Hadiyth: Fadhila Za 'Ilmu Na 'Ulamaa - أَحاديثُ عَنْ فَضْلِ الْعِلْم وَالْعُلَمَاء21-Hadiyth: Fadhila Za 'Ilmu Na 'Ulamaa: Aliye Mbora Kabisa Ni Mwenye Kujifunza Na Kufundisha Qur-aan

Hadiyth: Fadhila Za ‘Ilmu Na ‘Ulamaa

Hadiyth Ya 21

Aliye Mbora Kabisa Ni Mwenye Kujifunza Na Kufundisha Qur-aan

Alhidaaya.com

عن عثمانَ بن عفانَ رضي الله عنه أنَّ النبيَّ صلى الله عليه وسلّم قالَ: ((خَيرُكُم مَنْ تعَلَّمَ القُرآنَ وعَلَّمَه)) صحيح البخاريِّ

Imepokelewa kutoka kwa 'Uthmaan bin 'Affaan (رَضِيَ اللهُ عَنْهُ) kwamba Nabiy (صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّمْ) amesema: “Mbora wenu ni yule mwenye kujifunza Qur-aan kisha akaifundisha.” [Al-Bukhaariy] 

Fadhila nyenginezo tele za kujifunza na kufundisha Qur-aan zinapatikana katika viungo vifuatavyo:

Aayaat Kuhusu Fadhila Za Qur-aan Na Umuhimu Wake

Fadhila Za Kusoma Na Kuhifadhi Qur-aan Katika Hadiyth Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)

Maamrisho Ya Kuisoma Qur-aan Na Kuifanyia Kazi