Skip to main content

Imaam Ibn Al-Qayyim: Kutembea Baada Ya Kula Kuimarisha Siha

Kutembea Baada Ya Kula Kuimarisha Siha

Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah)

Alhidaaya.com

Amesema Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah)

Baadhi ya wafalme wamewauliza madaktari wao: Najua hutobakia kwangu, hivyo nipe wasifu wa jambo nilifuate na nichukue kutoka kwako. Twabib  akajibu: “Utakapokula usiku usilale hadi utembee walau hatua khamsini.”

[Atw-Twibb An-Nabawiy (Uk. 311)]