Skip to main content

17-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Kitabu Cha Mambo Yaliyokatazwa - كِتابُ الأمور الْمُنهى عَنْها068-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kumuita Fasiki na Mzushi na Mfano Wao kwa Jina la Bwana na Mfano wake

Riyaadhw Asw-Swaalihiyn

باب النهي عن مخاطبة الفاسق والمبتدع ونحوهما بِسَيِّد ونحوه

068-Mlango Wa Kukatazwa Kumuita Fasiki na Mzushi na Mfano Wao kwa Jina la Bwana na Mfano wake

Alhidaaya.com

عن بُريَدَةَ رضي الله عنه قالَ : قالَ رسُولُ الله صلى الله عليه وسلم : (( لاَ تَقُولُوا لِلْمُنَافِقِ سَيِّدٌ، فَإنَّهُ إنْ يَكُ سَيِّداً فَقَدْ أسْخَطْتُمْ رَبَّكُمْ عزوجل )) . رواه أبو داود بإسنادٍ صحيح.

Imepokewa kutoka kwa Buraydah (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Usimuite mnafiki Bwana, kwani akiwa yeye atakuwa ni bwana, hakika mtakuwa mmemkasirisha Rabb wenu 'Azza wa Jalla." [Abu Daawuwd kwa Isnaad Swahiyh]