Skip to main content

Fataawaa: Za Zakaatul-Fitwr21-Al-Lajnah Ad-Daaimah: Kuwalipia Zakaatul-Fitwr Wafanyakazi

Kuwalipia Zakaatul-Fitwr Wafanyakazi

Al-Lajnah Ad-Daaimah

www.alhidaaya.com

SWALI:

Tuna kiwanda na shamba ambamo kuna wafanyakazi wanaolipwa mishahara. Je tuwalipe Zakaatul-Fitwr au wajilipe wenyewe?

JIBU:

Wafanyakazi ambao wanalipwa mishahara kwa kibarua chao katika kiwanda au shamba wanapaswa kujilipia wenyewe Zakaatul-Fitwr kwa sababu hukmu ya asili ni kwamba imewajibika kwako. (Hivyo hupasi wewe kuwalipia)

Wa biLLaahi At-Tawfiyq wa Swalla Allaahu ‘alaa Nabiyyina Muhammad wa aalihi wa Swahbihi wa sallam.

[Fataawaa Al-Lajnah Ad-Daaimah (9/372)]