Skip to main content

Fataawaa: Kukithirisha 'Ibaadah Na 'Amali Ramadhwaan04-Shaykh ´Abdul-Muhsin Al-‘Abbaad: Anayemfuturisha Mwenye Swawm Ramadhwaan Au Sunnah Anapata Thawabu

Anayemfuturisha Mwenye Swawm Ramadhwaan Au Sunnah Anapata Thawabu

Shaykh ´Abdul-Muhsin Al-‘Abbaad

www.alhidaaya.com

SWALI:

Hadiyth: "Mwenye kumfuturisha mwenye swawm ana ujira mfano wake." 

Je, Hadiyth imekusudiwa thawabu zake ni khaswa kwa Swawm ya Ramadhwaan? 

JIBU:



Ni dalili kwamba ni Swiyaam zote (anapata mtu thawabu).

 [Bawaabah Al-Haramayni Ash-Shariyfayni]