Skip to main content

Fataawaa: Kafara Ya Jimai Ramadhwaan08-Shaykh ‘Abdul-Muhsin Al-‘Abaad: Mume Na Mke Wameingiliana Mchana Wa Ramadhwaan Kwa Kuridhiana

Mume Na Mke Wameingiliana Mchana Wa Ramadhwaan Kwa Kuridhiana

Shaykh ‘Abdul-Muhsin Al-‘Abaad (Hafidhwahu-Allaah)

www.alhidaaya.com

SWALI:

Mwanamke ambaye mumewe amemuingilia (mchana wa) Ramadhwaan naye yuko radhi. Nini hukmu yake mwanamke huyo?

JIBU:

Ni juu yake mwanamke kulipa kafara na mumewe pia mfano wake (alipe kafara).

[Fataawaa Shaykh 'Abdul-Muhsin Al-‘Abaad]