Kauli Za Salaf 'Ibaadah za Misimu
Swiyaam Ni Miongoni Mwa Subira Na Thawabu Zake Hazina Hesabu
Imaam Ibn Rajab (Rahimahu-Allaah)
Imaam Ibn Rajab amesema:
Swiyaam ni katika kuvuta subira na Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) Ametaja kwamba thawabu za subira hazina hesabu.
[Latwaaif, u.k 150]