Skip to main content

Fataawaa: Kulipa Swawm Na Sitta Shawwaal13-Imaam Ibn Baaz: Vipi Kuhusu Wasemao Kuwa Swiyaam Ya Sitta Shawwaal Ni Bid’ah?

  Vipi Kuhusu Wasemao Kuwa Swiyaam Ya Sitta Shawwaal Ni Bid’ah?

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) amesema:

"Kauli hii ni batili."

[Al-Fataawaa (16/389)]