15-Fatwa: Inafaa Kuunga Swiyaam Za Sitta Shawwaal Baada Ya Kumaliza Deni?
                                    
                        
              
    
  
      
  
  
    
Inafaa Kuunga Swiyaam Za Sitta Shawwaal Baada Ya Kumaliza Deni?
 
Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah)
 
www.alhidaaya.com
 
 
Imaam Ibn Baaz  (Rahimahu Allaah) amesema:
 
"Hakuna ubaya kufanya hivyo."
 
 
[Al-Fataawaa (15/396)]