Skip to main content

Fataawaa: Kulipa Swawm Na Sitta Shawwaal18-Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Nini Hikmah Ya Swiyaam Za Sitta Shawwaal?

Nini Hikmah Ya Swiyaam Za Sitta Shawwaal?

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

"Hikmah yake ni kukamilisha fardhi, basi atakapofunga Swiyaam za Sitta Shawwaal ni kama vile Swalaah za Sunnah ambazo zinakuwa ni kukamilisha humo kilichopungua katika fardhi."

[Fataawaa Nuwr ‘Alad-Darb, kanda (75)]