Skip to main content

Fataawaa: Ihraam Na Talbiyah 06-Imaam Ibn Baaz: Inaruhusiwa Kubadilisha Ihraam Kwa Ajili Ya Kuikosha?

 Inaruhusiwa Kubadilisha Ihraam Kwa Ajili Ya Kuikosha?

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com

SWALI:

Je, inaruhusiwa kubadilisha ihraam kwa ajili ya kuikosha?

JIBU:

Hakuna ubaya kuosha (nguo ya) ihraam au kubadilisha na kutumia nyingine ikiwa mpya au kukuu.

[Majmuw' al Fataawa Samaahat Shaykh ibn Baaz, Mjalada 6, Uk. 96, Fatwa Namba 45].