Maswali: Twahara Hedhi-Nifaas-Ghuslu
Hedhi-Nifaas-Ghuslu
Kukata Kucha Akiwa Katika Hedhi Au Nifaas Inafaa?
SWALI:
Swali langu linahusu ukataji kucha. Je ninaweza kukata kucha nikiwa sina udhu? Labda nikiwa ktk hedhi au nifasi?
JIBU:
Mwanamke Anapomaliza Hedhi Anaweza Kufanya Wudhuu Pekee
Kisha Ajimai Na Mumewe Kabla Ya Ghuslu?
SWALI:
Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.
Baada ya salam naomba ufafanuzi wa swali langu hili.
Mwanamke Anaweza Kutia Wudhuu Akiwa Katika Hedhi?
SWALI:
Asalam Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh
Baada ya salam naomba kuuliza kuwa mwanamke anaweza kutia udhu akiwa katika siku zake za hedhi.
JIBU:
Damu Inayotoka Akiwa Mja Mzito Ni Kama Ya Hedhi Je Aswali?
Swali:
Asalamu Alaykum: Mimi ndugu yenu muislam nina suali langu linanipa utata naomba ufafanuzi kutoka kwenu. Suali langu ni hili:-
Kuna Du'aa Khaswa Baada Ya Kumaliza Nifaas (Damu Ya Uzazi)?
SWALI:
Baada ya kujifungua kwa mwanamke na kukaa siku 40 je dua yake ni ipi? ili niweze kuendelea na ibada
JIBU:
Je, Inafaa Kujimai Na Mke Baada Hedhi Lakini Kabla Ya Ghuslu?
SWALI:
Assalaam aleykum
Je kuna makatazo yoyote ya kumuingilia mkeo baada ya kumaliza hedhi kabla hajaoga josho, hali yuko msafi ?
JIBU: