Maswali: Hukmu Za Swawm
Hukmu Za Swawm
Laylatul-Qadr
Siruhusiki Kwenda Masjid, Inafaa Kufanya Adhkaar Nyumbani Kumi La Mwisho?
SWALI:
Janaba: Kulala Na Janaba Na Kuamka Na Swawm Je, Swawm Inakubalika?
SWALI:
asalam aleikum
swala langu ni ikiwa mtu amelala na janaba siku ya ramadhan akamka asubuhi je saum ina swih ama itakuwa haifai
JIBU:
Hedhi Haikujitokeza Kikamilifu Je, Swawm Inafaa Siku Hiyo?
SWALI:
Asalam alykum warahamatu lwah wabarakatu,
Hilaal: Waislamu Wote Duniani Wafuate Mwandamo Mmoja
Wafunge (Swiyaam) Na Kula ‘Iyd Siku Moja ?
Niyyah Ya Swawm Ni Kwa Kila Siku Au Mara Moja Inatosha?
SWALI:
kuna nukta chache ningependa ufafanuzi zaidi.
Kuhusu nia, nimetatizika kidogo maana masheikh wetu huku wanatuambia inabidi kunuia kila siku. Na kama mfano bahati mbaya mtu akalala bila kunuia siku hiyo basi hana Swaum. Kama kasahau kunuia usiku huo haruhusiwa kula na inabidi aje kuilipa siku hiyo.
Hilaal: Kufuata Mwezi Wa Kitaifa Au Wa Kimataifa,
Kupishana Masaa, Na Je, Zamani Walipataje Khabari Za Mwandamo?