Hakuna Dalili Kuzaliwa Kwa Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)
Au Kupewa Unabiy Katika Mwezi Wa Rajab
Imaam Ibn Rajab (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn Rajab (Rahimahu Allaah) amesema:
Bid’ah
Hakuna Dalili Kuzaliwa Kwa Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)
Au Kupewa Unabiy Katika Mwezi Wa Rajab
Imaam Ibn Rajab (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn Rajab (Rahimahu Allaah) amesema:
Hakuna ‘Ibaadah Yoyote Iliyothibiti Kutendwa Katika Mwezi Wa Rajab
Imaam Al-Haafidhw Ibn Hajar (Rahimahu-Allaah)
Imaam Al-Haafidhw Ibn Hajar (Rahimahu Allaah) amesema:
Haikuthibiti Mwezi Wa Rajab Kuwa Ni Mahsusi Kwa Ajili Ya Kutoka Zakaah
Imaam Ibn Rajab (Rahimahu-Allaah)
Imaam Ibn Rajab (Rahimahu-Allaah) amesema:
“Hakuna dalili katika Sunnah wala sijui kutoka kwa Salaf yeyote kuwa mwezi wa Rajab ni mahsusi kwa ajili ya kutoa Zakaah.” [Latwaaif Al-Ma’aarif (141)]
Balaa Haindoshowi Kwa Bid’ah
Imaam Ibn Hajar (Rahimahu Allaah)
Amesema Imaam Ibn Hajar (Rahimahu Allaah):
Ilipotokea Tauni Misri watu wakakubaliana kufunga (Swiyaam) siku tatu ili kuondosha balaa hilo, hivyo wakakusanyika wakasimama kisha wakaacha, haikupita mwezi ikawa watu wanaokufa kila siku katika mji wa Cairo ni zaidi ya elfu moja.
[Badhwl Al-Ma’auwn (329)]
Faida:
Kuwapongeza Makafiri Katika Sherehe Zao Ni Haraam
Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah) amesema:
Kuwaiga Makafiri Katika Sherehe Zao Ni Kufurahia Iymaan Na Matendo Yao
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema: