Kauli Za Salaf: Taqwa-Ikhlaasw
Mwenye Akili Avute Subira Katika Majaribio Ya Allaah ('Azza wa Jalla)
Imaam Ibn Al-Jawziy (Rahimahu-Allaah)
Amesema Ibn Jawziy (Rahimahu Allaah):
Dunia imewekwa kwa ajili ya majaribio, basi inampasa mwenye akili aikite nafsi yake juu ya subira.
[Swaydu Al-Khaatwir, juz. 1, uk. 393]