Kauli Za Salaf: Taqwa-Ikhlaasw

Taqwa-Ikhlaasw

Kauli Za Salaf: Taqwa-Ikhlaasw

Dunia Ni Kama Mtu Aliyelala Akaota Ndoto Anayoipenda Kisha Ghafla Akazindukana

 

Imaam Hasan Al-Baswriy (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Al-Hasan Al-Baswriy (Rahimahu Allaah) amesema:

 

“Dunia mwanzo wake na mwisho wake si chochote isipokuwa kama mfano mtu aliyelala, akaota usingizini mwake ndoto anayoipenda kisha (ghafla ikakatika) akazindukana.”