Kauli Za Salaf: Taqwa-Ikhlaasw
Miongoni Mwa Misemo Ya Makosa
"Hakuna Shukurani Kwa Waajib"
Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) amesema:
Msemo: "Hakuna shukurani kwa (kutenda) waajib"
Msemo huu ni kosa. Kwa sababu waajib hushukuriwa.
[Fat-hu Al-Majiyd 3/299]