Imaam Ibn Baaz: Wanaomtii Allaah Na Rasuli Wake Wakathibitika Katika Haki Ndio Vipenzi Vya Allaah

Kauli Za Salaf: Taqwa-Ikhlaasw

 

Wanaomtii Allaah Na Rasuli Wake  Wakathibitika Katika Haki Ndio Vipenzi Vya Allaah

 

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

 

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) amesema:

 

Kila anayemtii Allaah na Rasuli Wake na akathibitika katika haki basi huyo ni miongoni mwa vipenzi vya Allaah.

 

 

[Sharh Kashf Ash-Shubuhaat, uk. 4]