Kauli Za Salaf: Taqwa-Ikhlaasw
Ukiwa Hupati Utamu Wa Iymaan, Omba Maghfirah
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah)
Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah) amesema:
"Ambaye anaona kifua chake hakifunguki na hakipati utamu wa Iymaan na Nuru ya hidaaya, basi azidishe kuomba tawbah na maghfirah."
[Al-Fataawa Al-Kubraa, 5/62]