Kauli Za Salaf: Taqwa-Ikhlaasw
Kufuzu Kwa Hakika Ni Kuwekwa Mbali Na Moto Na Kuingia Jannah
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:
"Kufuzu kiuhakika si kufaulu kwa kupata kitu duniani bali kufuzu ni kuwekwa mbali na moto na kuingizwa Jannah."
[Sharh Swahiyh Al-Bukhaariy (8/289)]