Kauli Za Salaf: Taqwa-Ikhlaasw
Uhuru Wa Kweli Ni Kumtii Allaah Si Kujiachia Mtu Kufanya Kila Anachotaka Kufanya
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
Amesema Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah):
“Uhuru wa kweli ni kusimama katika utiifu kwa Allaah (‘Azza wa Jalla) wala si mtu kujiachia kufanya kila analotaka kufanya.”
[Silsilatu Sharhi Al-Arba’iyn An-Nawawiyyah, Hadiyth Namba (63)]