11-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Kitabu Cha Jihaad - كِتابُ الْجِهاد
- 01-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Fadhila ya Jihaad
- 02-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kubainisha Kikundi cha Mashahidi katika Thawabu za Kesho Akhera, Ambao Wanaoshwa na Kuswaliwa Tofauti na Wale Wanaofariki katika Vita Wakipambana na Makafiri
- 03-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Fadhila za Kuacha Huru Watumwa
- 04-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Fadhila za Kumfanyia Hisani Mtumwa
- 05-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Fadhila ya Mtumwa Anayetekeleza Haki ya Allaah na ya Bwana Wake
- 06-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Fadhila za 'Ibaadah Wakati wa Fitna
- 07-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Fadhila za Kuwa Mpole katika Kuuza, Kununua, Kuchukua, Kutoa, Ubora wa Kulipa, Kudai kwa Njia Nzuri na Kukatazwa Kupunja katika Kupima na Ubora wa Kuwapatia Afueni Mwenye Usiri na Kumsamehe Deni
