Maswali Ya Nikaah - Haki Za Mke Na Mume
| Mkwe Wangu Hataki Mtoto Wetu Aende Kwetu, Anamdhibiti Mume Wangu Kwa Kila Jambo |
| Mume Hajali Ndoa Yake, Anafanya Maasi Ya Zinaa, Hafanyi ‘Ibaadah Yoyote, Nifanyeje? |
| Mume Amechukua Pesa Zangu Hataki Kunilipa Naye Hana Shida, Nimezidi Kuchukiwa Naye, Nadai Talaka Je Nina Haki? |
| Mume Amekasirika Na Amenitelekeza Miezi Sita Bila Talaka Kwa Sababu Nimemkataza Asifanye Ushirikina. Na Haswali |
| Mume Ametaka Ndoa Iwe Ya Siri Lakini Hanipi Chochote Na Haji Kwangu Ila Kwa Mahitaji Ya Kimwili Tu |
| Mume Ana Hiari Kukaa Kwenye Mtandao Masaa Kila Siku, Lakini Inapita Miezi Na Hamtimizii Mkewe Haki Ya Tendo La Ndoa |
| Mume Anachelewa Kurudi Na Ananipiga |
| Mume Anaishi Na rafiki Zake Huja Kwangu kulala Kwangu Anapopenda tu? Ndoa Inasihi? |
| Mume Anaithamini Internet Kuliko Mke |
| Mume Anakesha Katika Internet Hampi Mke Haki Yake - Mke Afanyeje? |
| Mume Ananionea, Hanipendi Ananiadhiri Mbele Za Watu, Anajuta Kunioa Nami Naumia Sana Na Mateso Haya Nifanyeje? |
| Mume Anapata Vitisho Na Matatizo Tokea Kumuoa Mke Ambaye Anasumbuliwa Na Majini |
| Mume Anashindwa Kurudisha Amana Ya Mke Aliyeachana Naye – Aombe Du’aa Gani Kuhusu Dhulma Aliyomfanyia? |
| Mume Anawasiliana Na Wanawake Kwa Maandishi Ya Mapenzi Kwa Njia Ya Simu Ya Mkononi – Nikimkataza Ananiambia Niende Kwetu |
| Mume Anayependa Rafiki Zaidi Kuliko Familia Yake? Afanyeje Mke Ikiwa Mume Haachi Tabia Hiyo? |
| Mume Anayo Haki Kukataa Kuishi Na Shemeji |
| Mume Asi Hatimizi Fardhi |
| Mume Hampi Matumizi Wala Kumsaidia Kwa Lolote Afanyeje? |
| Mume Hana Bashasha Hatimizi Wajib Wake |
| Mume Haniheshimu Anawadharau Wazazi Wangu Anawatukana Watoto Wangu |
| Mume Hapendi Kulala Chumba Kimoja Na Mke, Je Mke Astahimili Au Afanyeje? |
| Mume Hataki Kuswali, Haogi Janaba, Mke Mjamzito Anataka Kuachika Aolewe Na Mume Mwengine Afanyeje Kuhusu Mimba Yake? |
| Mume Hatazami Nyumba Ipasavyo |
| Mume Hatoi Haki Kwa Mke Wa Pili Kama Atoavyo Kwa Mke Wa Kwanza |
| Mume Kapoteza Thamani Kwa Mke Na Katumia Pesa Zake |
| Mume Katoa Maneno Kwa Mkewe Kuhusu Kitendo Cha Ndoa, Maneno Hayo Yanamtia Mashaka Mkewe |
| Mume Kuchelewa Kurudi Nyumbani Kwa Ajili Ya Marafiki |
| Mume Kumwita Mke Mchawi |
| Mume Mcheza Kamari, Mlevi Nini Hukmu Ya Ndoa Yake? |
| Mume Mkali Sana, Hana Raha Na Mimi, Hapendi Niwe Na Furaha, Ananifanyia Vitimbi - Anasema Hakunipenda Ila Amenioa Tu! |