Skip to main content

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Haijuzu Kusema Ilaahi Anta Jaahiy “Mwabudiwa Wangu Wewe Ni Jaha Yangu”

Haijuzu Kusema Ilaahi Anta Jaahiy “Mwabudiwa Wangu Wewe Ni Jaha Yangu”

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

Alhidaaya.com

SWALI:

Nini hukmu ya kusema:

إلاهي أنت جاهي؟

Ilaahi Anta Jaahiy” (Ee Mwabudiwa Wangu, Wewe Ni Jaha Yangu)

JIBU:

Haifai kutumia kauli hiyo, kwa sababu maana ya neno hilo ni: “Wewe ni muombezi Wangu, sasa muombezi wako kwa nani?”

[Fataawaa Muhammad bin Swaalih Al-‘Uthaymiyn: Al-Kanz Ath-Thamiyn (Uk 12)]