Skip to main content
⌂
Alhidaaya.com homepage
slogan image
  • Log in

left sidebar menu

  • Qur-aan
  • Hadiyth
  • Sunnah
  • Tawhiyd
  • Aqiydah
  • Manhaj
  • Shirki & Kufru
  • Bid-'ah (Uzushi)
  • Salaf Wa Ummah
  • Firaq-Makundi
  • Fiqh-Ibaadah
  • Duaa-Adhkaar
  • Fataawa Za Ulamaa
  • Kauli Za Salaf
  • Akhlaaq-Aadaab
  • Raqaaiq
  • Familia-Jamii
  • Maswali-Majibu
  • Chemsha Bongo
  • Vitabu
  • Mapishi

08-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Kitabu Cha Mavazi Na Mapambo Na Hukmu Za Kuangalia: Hukumu Za Kuangalia: Mwanamke Anaruhusiwa Kumtembelea Mwanaume Mgonjwa Kwa Sharti Ajisitiri Na Pasiwepo Fitnah

Swahiyh Fiqh As-Sunnah

كِتَابُ اللِّبَاسِ وَالزِّيْنَةِ  وَأَحْكَامُ النَّظَرِ

 Kitabu Cha Mavazi Na Mapambo Na Hukmu Za Kuangalia 

أَحْكَامُ النَّظَرِ

Hukumu Za Kuangalia 

Alhidaaya.com 

08-Mwanamke Anaruhusiwa Kumtembelea Mwanaume Mgonjwa Kwa Sharti Ajisitiri Na Pasiwepo Fitnah:

‘Aaishah:

"لَمَّا قَدِمَ رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ الْمَدِينَةَ وُعِكَ أَبُو بَكْرٍ وَبِلاَلٌ ، فَدَخَلْتُ عَلَيْهِمَا فَقُلْتُ: يَا أَبَتِ كَيْفَ تَجِدُكَ؟ وَيَا بِلاَلُ كَيْفَ تَجِدُك؟َ"

“Rasuli (Swalla Allaah ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alipokuja Madiynah, Abu Bakr na Bilaal walipigwa na homa.  Nikaingia waliko nikasema:  Ee baba yangu kipenzi! Vipi hali yako? Wajisikiaje? Na ee Bilaal! Vipi hali yako? Wajisikiaje?....”[Al-Bukhaariy (3926) na Muslim (1376), na tamshi ni la Al-Bukhaariy].

Vile vile, mwanamke anaruhusiwa kumtibu mwanaume kama kuna dharura.  Ni kwa Hadiyth iliyotangulia ya Ar-Rubayyi’u bin Mu’awwidh aliyesema: 

"كُنَّا نَغْزُو مَعَ رَسُولِ اللَّهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ نَسْقِي الْقَوْمَ، وَنُدَاوِيْ الْجَرْحَى وَنَرُدُّ القَتْلَى إِلَى الْمَدِينَةِ"

“Tulikuwa tunakwenda vitani pamoja na Rasuli (Swalla Allaah ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na tulikuwa tunawapatia maji wanaume, tunawatibu majeruhi, na tunawarejesha waliouawa Madiynah”.  [Swahiyh Al-Bukhaariy (2883)]

Lakini sharti ya hili ni kutopatikana mwanaume anayeweza kutoa huduma hii ya matibabu.  Allaah Ndiye Ajuaye zaidi.


Book traversal links for 09C-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: كِتابُ اللِّباسِ وَالزِّينَةِ وَأَحْكامِ النَّظَر - Kitabu Cha Mavazi Na Mapambo Na Hukmu Za Kuangalia: أَحْكَامُ النَّظَرِ Hukmu Za Kuangalia

  • ‹ 07-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Kitabu Cha Mavazi Na Mapambo Na Hukmu Za Kuangalia: Hukumu Za Kuangalia: Mwanamke Kuwaangalia Wanaume Wasio Maharimu Wake
  • Up
  • 09-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Kitabu Cha Mavazi Na Mapambo Na Hukmu Za Kuangalia: Hukumu Za Kuangalia: Mwanamke Haruhusiwi Kupeana Mkono Na Mwanaume Ajinabi (Asiye Maharimu) ›
moon-icon

Mafunzo Katika Miezi Ya Hijri Ya Kutekeleza Na Ya Kujiepusha

  • Muharram
    image
    مُحَرَّمْ
  • Swafar
    image
    صَفَرْ
  • Rabiy’u Al-Awwal
    Rabiy’u Al-Awwal
    رَبيعُ الْأَوًّلْ
  • Rabiy'u Al-Aakhir
    Rabiy'u Al-Aakhir
    رَبيعُ الآخِرْ
  • Jumaadaa Al-Uwlaa
    image
    جُمَادَى الْأُوْلَى
  • Jumaadaa Al-Aakhirah
    image
    جُمَادَى الْآخِرَة
  • Rajab
    image
    رَجَبْ
  • Sha'baan
    Shabaan
    شَعْبَانْ
  • Ramadhwaan
    iocn
    رَمَضَانْ
  • Shawwaal
    image
    شَوّالْ
  • Dhul-Qa’dah
    image
    ذُو الْقَعْدَةْ
  • Dhul-Hijjah
    icon
    ذُو الحِجَّةْ
Alhidaaya.com homepage
  • Kuhusu Alhidaaya
  • Maoni Yako-Wasiliana Na sisi (Contact Us)
  • Tovuti Muhimu

© 2026 Alhidaaya.com All rights reserved.