Skip to main content
⌂
Alhidaaya.com homepage
slogan image
  • Log in

left sidebar menu

  • Qur-aan
  • Hadiyth
  • Sunnah
  • Tawhiyd
  • Aqiydah
  • Manhaj
  • Shirki & Kufru
  • Bid-'ah (Uzushi)
  • Salaf Wa Ummah
  • Firaq-Makundi
  • Fiqh-Ibaadah
  • Duaa-Adhkaar
  • Fataawa Za Ulamaa
  • Kauli Za Salaf
  • Akhlaaq-Aadaab
  • Raqaaiq
  • Familia-Jamii
  • Maswali-Majibu
  • Chemsha Bongo
  • Vitabu
  • Mapishi

10-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Kitabu Cha Mavazi Na Mapambo Na Hukmu Za Kuangalia: Hukumu Za Kuangalia: Inaruhusiwa Mwanamke Kumsalimia Mwanaume Na Kinyume Chake Lakini Bila Kupeana Mikono

Swahiyh Fiqh As-Sunnah

كِتَابُ اللِّبَاسِ وَالزِّيْنَةِ  وَأَحْكَامُ النَّظَرِ

 Kitabu Cha Mavazi Na Mapambo Na Hukmu Za Kuangalia 

أَحْكَامُ النَّظَرِ

Hukumu Za Kuangalia 

Alhidaaya.com 

10-Inaruhusiwa Mwanamke Kumsalimia Mwanaume Na Kinyume Chake Lakini Bila Kupeana Mikono:

Ummu Haani:

"ذَهَبْتُ إِلَى رَسُولِ اللَّهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ عَامَ الْفَتْحِ فَوَجَدْتُهُ يَغْتَسِلُ، وَفَاطِمَةُ ابْنَتُهُ تَسْتُرُهُ فَسَلَّمْتُ عَلَيْهِ" ‏

“Nilikwenda kwa Rasuli wa Allaah (Swalla Allaah ‘alayhi wa aalihi wa sallam) mwaka ule Makkah ilipokombolewa.  Nikamkuta anaoga na binti yake Faatwimah amemwekea pazia, nikamsalimia”.  [Al-Bukhaariy (3171) na Muslim (336)].

Hadiyth inatufunza kwamba mwanamke anaweza kumsalimia mwanaume bila kupeana mkono, lakini kama mazingira ya fitnah hayapo. 

Na pia mwanaume anaruhusiwa kumsalimia mwanamke bila kupeana mkono.  Asmaa bint Yaziyd amesema:

" أَنَّ رَسُولَ اللهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ مَرَّ فِي المَسْجِدِ يومًا، وعُصْبَةٌ منَ النِّسَاءِ قُعُوْدٌ، فَأَلْوَى بِيَدِهِ بالتسليم‏‏‏"

“Kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaah ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alipita siku moja Msikitini na kundi la wanawake likiwa limekaa humo.  Akawasalimia na kuwaashiria kwa mkono wake”.  [At-Tirmidhiy (2697), Abu Daawuwd (5204), Ibn Maajah (3701)].


Book traversal links for 09C-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: كِتابُ اللِّباسِ وَالزِّينَةِ وَأَحْكامِ النَّظَر - Kitabu Cha Mavazi Na Mapambo Na Hukmu Za Kuangalia: أَحْكَامُ النَّظَرِ Hukmu Za Kuangalia

  • ‹ 09-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Kitabu Cha Mavazi Na Mapambo Na Hukmu Za Kuangalia: Hukumu Za Kuangalia: Mwanamke Haruhusiwi Kupeana Mkono Na Mwanaume Ajinabi (Asiye Maharimu)
  • Up
  • 11-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Kitabu Cha Mavazi Na Mapambo Na Hukmu Za Kuangalia: Hukumu Za Kuangalia: Mwanamke Anaweza Kumsemesha Mwanaume Kama Fitnah Haipo Na Kwa Vidhibiti Vya Kisheria ›
moon-icon

Mafunzo Katika Miezi Ya Hijri Ya Kutekeleza Na Ya Kujiepusha

  • Muharram
    image
    مُحَرَّمْ
  • Swafar
    image
    صَفَرْ
  • Rabiy’u Al-Awwal
    Rabiy’u Al-Awwal
    رَبيعُ الْأَوًّلْ
  • Rabiy'u Al-Aakhir
    Rabiy'u Al-Aakhir
    رَبيعُ الآخِرْ
  • Jumaadaa Al-Uwlaa
    image
    جُمَادَى الْأُوْلَى
  • Jumaadaa Al-Aakhirah
    image
    جُمَادَى الْآخِرَة
  • Rajab
    image
    رَجَبْ
  • Sha'baan
    Shabaan
    شَعْبَانْ
  • Ramadhwaan
    iocn
    رَمَضَانْ
  • Shawwaal
    image
    شَوّالْ
  • Dhul-Qa’dah
    image
    ذُو الْقَعْدَةْ
  • Dhul-Hijjah
    icon
    ذُو الحِجَّةْ
Alhidaaya.com homepage
  • Kuhusu Alhidaaya
  • Maoni Yako-Wasiliana Na sisi (Contact Us)
  • Tovuti Muhimu

© 2026 Alhidaaya.com All rights reserved.