Skip to main content

Fataawaa: Za Zakaatul-Fitwr09-Al-Lajnah Ad-Daaimah: Kuna Du'aa Ya Kusomwa Inapotolewa Zakaatul-Fitwr?

Je, Kuna Du'aa Ya Kusomwa Inapotolewa Zakaatul-Fitwr?

Al-Lajnah Ad-Daaimah

www.alhidaaya.com

SWALI:

Je, kuna du'aa mahsusi iombwe wakati wa kutoa Zakaatul-Fitwr na ni du'aa gani?

JIBU:

AlhamduliLLaah

Hatujui du'aa yoyote mahsusi ipasayo kuombwa wakati wa kutoa (Zakaatul-Fitwr).

[Fataawaa Al-Lajnah Ad-Daaimah (1204)]