Skip to main content

Fataawaa: Za Zakaatul-Fitwr08-Al-Lajnah Ad-Daaimah: Zakaatul-Fitwr Igaiwe Kwa Mtu Mmoja Au Watu Mbali Mbali?

Zakaatul-Fitwr Igaiwe Kwa Mtu Mmoja Au Watu Mbali Mbali?

Al-Lajnah Ad-Daaimah

www.alhidaaya.com

SWALI:

Je, Zakaatul-Fitwr ni kwa ajili ya mtu mmoja pekee au igaiwe kwa wengi?

JIBU:

AlhamduliLLaah

Inaruhusiwa kutoa Zakaatul-Fitwr kwa mtu mmoja kwa ajili ya mtu   mmoja na inaruhusiwa pia kuigawa kwa watu zaidi ya mmoja.

Na Allaah ni Mweza wa yote.

[Fataawaa Al-Lajnah (1204)]