Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Rajab: Haikuthibiti Kuwa Tarehe 27 Rajab Ni Siku Ya Israa Wal-Mi’raaj

Haikuthibiti Kuwa Tarehe 27 Rajab Ni Siku Ya Israa Wal-Mi’raaj

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

 

Shaykh Muhammad bin ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amesema:  “Ama usiku wa ishirina na saba (27) katika Rajab, watu wanadai kuwa ni usiku wa Mi’raaj ambao Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) alipaishwa mbinguni kwa Allaah ('Azza wa Jalla), lakini hii haikuthibiti katika taariykh (historia). Na kila kilichokuwa hakikuthibiti basi huwa ni batili.”  [Majmuw’ Fataawaa Shaykh Muhammad bin ‘Uthyamiyn]

Share