075-Hiswnul-Muslim: Anachosema Aliyetukanwa Hali Ya Kuwa Ana Swawm

Hiswnul-Muslim

075-Anachosema Aliyetukanwa Hali Ya Kuwa Ana Swawm

www.alhidaaya.com

 

 

Bonyeza Hapa Usikilize

 

 

[186]

إنِّي صَائِمٌ، إنِّي صَائِمٌ

Inniy Swaaim, Inniy Swaaim

Hakika mimi niko katika Swawm, hakika mimi niko katika Swawm[1]

 

 

 

 

[1]Hadiyth ya Abu Huraryah (رضي الله عنه)

 

((الصِّيَامُ جُنَّةٌ، فَلَا يَرْفُثْ وَلَا يَجْهَلْ، وَإِنْ امْرُؤٌ قَاتَلَهُ أَوْ شَاتَمَهُ فَلْيَقُلْ: إِنِّي صَائِمٌ مَرَّتَيْنِ- وَالَّذِي نَفْسِي بِيَدِهِ، لَخُلُوفُ فَمِ الصَّائِمِ أَطْيَبُ عِنْدَ اللَّهِ تَعَالَى مِنْ رِيحِ الْمِسْكِ، يَتْرُكُ طَعَامَهُ وَشَرَابَهُ وَشَهْوَتَهُ مِنْ أَجْلِي، الصِّيَامُ لِي وَأَنَا أَجْزِي بِهِ، وَالْحَسَنَةُ بِعَشْرِ أَمْثَالِهَا))

 

((Swawm ni ngao. Kwa hiyo (atakayekuwa katika Swawm miongoni mwenu) asijimai (na mkewe) wala asifanye mambo ya upuuzi. Akitokea mtu kugombana naye au akamtukana, basi aseme mara mbili: “Hakika mimi niko katika Swawm! Naapa kwa Ambaye nafsi yangu imo Mikononi mwake! Hakika harufu inayotoka kinywani mwa aliye na  Swawm ni nzuri mbele ya Allaah Ta’aalaa kuliko harufu ya misk. (Allaah Anasema kuhusu aliye na  Swawm): “Ameacha chakula chake na kinywaje chake na matamanio yake kwa ajili Yangu. Swawm ni Yangu, Nami Nitamlipa, na thawabu ya amali  nzuri ina malipo mara kumi”)) - Al-Bukhaariy pamoja na Al-Fat-h (4/103) [1894], Muslim (2/806) [1151].

 

Share