Kauli Za Salaf: Manhaj
Fitnah Ni Kama Tufani Haokoki Nayo Mtu Ila Aliyeshikamana Na Sunnah
Shaykh Swaalih bin Fawzaan Al-Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)
Fitnah ni kama tufani, wala haokoki nayo mtu isipokuwa aliyeshikamana na Sunnah, na wala huwezi kushikamana na Sunnah isipokuwa utakapoijua!
[Sharh Al-‘Ubuwdiyyah (Uk 90)]