Kauli Za Salaf: Taqwa-Ikhlaasw
Nyumba Ya Muislaam Sio Duniani Bali Ni Jannah (Peponi)
Shaykh Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)
Amesema Shaykh Al-Fawzaan (Hafidhwahu Allaah):
"Dunia si nyumba ya Muislaam bali nyumba ya muislam ni Jannah (Pepo)"
[Sharhu Al-Arbai’yn (285)]