Kauli Za Salaf: Manhaj
Uokovu Unapatikana Katika Manhaj Ya Salafi
Shaykh Swaalih Al-Fawzaan
Shaykh Swaalih Al-Fawzaan amesema:
“Ukitaka uokovu na ukitaka furaha (mafanikio) na ukitaka salama ya kuwa mbali na upotofu, basi shikamana na Manhaj ya Salafi.”
[Sharh Ad-Durrah Al-Mudhwiyyah, uk. 279]