<?xml encoding="utf-8" ?>
Mfugaji Wanyama Vipi Achinje Idadi Kubwa Ya Wanyama Kama Kuku?
SWALI:
Assalam alaykum
Mimi ni mfugaji wa kuku wa kizungu naomba nifahamiswe taratibu za kisheria za kuchinja kuku idadi nyingi kama zaidi ya 200 nimeambiwa nisipoosha kisu kwa maji baada ya kila kuku, kuku hao watakuwa ni haraam kuwala, vipi pia kuhusu kuku kuwakusanya pamoja wakati wa kuwachinja?
JIBU: