Historia Ya Keki Na Mishumaa Katika Kuadhimisha Siku Ya Kuzaliwa (Birthday)
Imetarjamiwa Na: Ummu Ummu Ayman
Uzushi na Maovu, Bidah
Historia Ya Keki Na Mishumaa Katika Kuadhimisha Siku Ya Kuzaliwa (Birthday)
Imetarjamiwa Na: Ummu Ummu Ayman
Haijuzu Muislamu Kusherehekea Mwaka Mpya Wa Milaadiyyah (Gregorian)
Imepokelewa toka kwa Abuu Sa’iyd Al-Khudriyy (Radhwiya Allaahu ‘anhu) kwamba Nabiy (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema:
Mtu Ambaye Atataja Mazuri Ya Watu Wa Bid’ah Atakuwa Naye Anaeneza Bid’ah
Shaykh Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Kutoka: Sharh Lum’at-il-I’tiqaad, Uk. 269
Manhaj ya Ahlus Sunnah ni mtu kuwasusia Ahlul Bid'ah ili waache Bid’ah zao. Ikiwa mtu hatowagomea, basi itakuwa unawasaidia na kukubaliana na wanayoyafanya na kuwadanganya wengine.
Bid’ah Inayopambana Na Sunnah (Je, Kuna Bid'ah Nzuri Katika Dini?)
Muhammad Faraj Saalim As-Sa’y (Rahimahu Allaah)
Hatari Ya Kueneza Hadiyth Dhaifu Na Visa Vya Uongo
Ndugu Waislamu, tunachukua fursa hii ya kunasihi kwa kufuata amri ya Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) kutokana na Hadiyth:
Siku Ya Wajinga (April Fool) Na Hukumu Yake Kishari'ah
Abuu 'Abdillaah
BismiLlaah Rahmaani Rahiim
Zifuatazo ni hoja za watetezi wa mawlid na majibu yake.
1-Hoja Ya Kwanza Ya Watetezi Wa Mawlid:
Aayah katika Suwrah Yuwnus:
قُلْ بِفَضْلِ اللّهِ وَبِرَحْمَتِهِ فَبِذَلِكَ فَلْيَفْرَحُواْ هُوَ خَيْرٌ مِّمَّا يَجْمَعُونَ
Waislam Tuache Kumzulia Uongo Nabiy
(Swalla Allaahu ‘Alayhi wa Aalihi Wa Sallam)
Abu Faatwimah