<?xml encoding="utf-8" ?>
Muumini Lazima Atubie Kila Siku Kukhofia Mauti Na Kufufuliwa Na Madhalimu
Imaam Ibn Rajab (Rahimahu Alllaah)
Maasi
<?xml encoding="utf-8" ?>
Muumini Lazima Atubie Kila Siku Kukhofia Mauti Na Kufufuliwa Na Madhalimu
Imaam Ibn Rajab (Rahimahu Alllaah)
Kupoteza Wakati Ni Jambo Zito Zaidi Kulikoni Mauti
Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu-Allaah)
Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu-Allaah) amesema:
“Kupoteza wakati ni jambo zito zaidi kulikoni mauti, kwasababu kupoteza wakati kunakuepusha kuwa mbali na Allaah na Nyumba ya Aakhirah. Ama mauti yanakuweka mbali na dunia na watu wake.” [Al-Fawaaid (458)]
<?xml encoding="utf-8" ?>
Adhabu Si Katika Mwili Mali Na Ahli
Bali Adhabu Mbaya Kabisa Ni Kuwa Na Maradhi Ya Moyo
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amesema:
“Watu wengi wanadhania kwamba adhabu inahusiana katika siha ya mtu, afya, mali na watoto, bali kuwa na maradhi ya moyo na moyo uliofisidika ndio adhabi mbaya zaidi.”
<?xml encoding="utf-8" ?>
Anayeufungamanisha Moyo Wake Katika Yaliyoharamishwa Atakuwa Mateka Katika Kiza Cha Matamanio
Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah) amesema:
“Atakayeufungamanisha moyo wake katika yaliyoharamishwa, atakuwa mateka katika kiza cha matamanio.”
Na amesema pia:
Mipaka Ya Kumkhofu Allaah Ni Kujizuia Kutenda Madhambi
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah)
Imaam Ibn Al-Qayyim amesema:
“Nilimsikia Shaykhul-Islaam Ibn Taymiyyah akisema: “Mipaka ya khofu ni lenye kukuzuia kumuasi Allaah, kwa hiyo mengineyo zaidi ya hivyo hayahitajiki.”
[Jaami’ Al-Adaab (1/348)]
<?xml encoding="utf-8" ?>
Asili Ya Maasi Ni Kufuata Rai Na Matamanio Badala Ya Dalili Za Shariy’ah
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema:
<?xml encoding="utf-8" ?>
Ghiybah Ikidhihiri Undugu Kwa Ajili Ya Allaah Unapotea
Imaam Fudhwayl Bin ‘Iyaadhw (Rahimahu Allaah)
G"hiybah inapodhihiri, undugu kwa ajili ya Allaah hupotea."
Madhambi Yanazuia Kufahamu Haki
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amesema:
“Madhambi yanakuzuia kufahamu haki.”
[Sharh Al-Mumti’ (1/23)]
<?xml encoding="utf-8" ?>
Wakati Si Adui Hata Wajinga Waseme “Tunaua Wakati”
Shaykh Fawzaan (Hafidhwahu-Allaah)
Shaykh Fawzaan (Hafidhwahu-Allaah) amesema:
“Kauli ya wajinga wasemao “Tunaua wakati” (yaani kupoteza muda upite haraka) basi wakati si adui hata iwe unataka kuua wakati, bali huo ni rasilmali yako na akiba yako mbele ya Allaah (Siku ya Qiyaamah).
[Silsilah Al-Liqaat (5/33)]
<?xml encoding="utf-8" ?>
Ole Kwa Wenye Kunyoa Ndevu Wakamuasi Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم) Waziwazi
Imaam As-Sa’dy (Rahimahu-Allaah)
Imaam As-Sa’dy (Rahimahu-Allaah) amesema: