Maswali: Bid'ah - Uzushi
Bid'ah - Uzushi
Kusoma Maulidi Katika Sherehe Za Ndoa Inafaa?
Maulidi: Maneno Kwenye Khutbah Hayakuwepo Wakati Wa
Nabiy (صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّم) Vipi Maulidi Yawe Bid'ah?
Ufafanuzi Wa Maneno Katika Kitabu Cha Ibn Taymiyyah Kuhusu Bid'ah Ya Maulidi
SWALI LA 1:
Bismillaahi rahmaani rahiim Asslaamu alaikum warahmatu llahi wabarakatu. Shukurani na sifa njema zote ni za Allah subhaanahu wataala na namtakia bwana wetu Mjumbe wa Allah Muhammad rehma na amani za Allah ziwe juu yake.
Ikiwa Maulidi Hayafai Vipi Mashekhe Wengine Wanayakubali?
SWALI:
Mimi ni mpenzi wa Alhidaya naomba niulize suali. nimepata taarifa ya kua tusisherehekee maulid na kwamba kwa waislam ni vibaya. jee hawa mashehe wakubwa wa zanzibar wamepata wapi ushahidi wa maulid hata ikawa wanatushajihisha juu ya kusherehekea maulid?
Ameweka Nadhiri ya Kusoma Maulidi Kisha Katambua kuwa Ni Bi'dah Afanyeje?
SWALI:
Asalamu alaykum,
Maulidi: Sherehe Za Harusi Zina Maasi Uzushi Wa Maulidi Nyimbo Na Kujifakharisha
SWALI