Maswali: Swalah Ya Jamaa
Swalah Ya Jamaa
Maswali: Swalah Ya Jamaa
SWALI:
Asalaam aleykum waislam wenzangu wa alhidaaya. Napenda kuchukua fursa hii kwenu kutaka kufahamu niliyonayo ili nizidi kuelimika toka kwenu nyie wenzangu.
Maswali: Swalah Ya Jamaa
SWALI:
Je, kuna uwezekano wa kuwa na tahiyatu nne kwenye salah moja?
JIBU:
Maswali: Swalah Ya Jamaa
SWALI:
Inafaa kufuata jamaa nikiwa peke angu chumbani wakati ukumbini wanaume wanasali jamaa nami nasikia takbir zote?