Maswali: Taqwa - Tazkiyyah
Taqwa - Tazkiyyah
Maswali: Taqwa - Tazkiyyah
SWALI:
asalam aleikum.
Maswali: Taqwa - Tazkiyyah
SWALI:
Asalam aleikum natumai hapo mulipo nyote hamuna neno.mimi nina swali huwanasikiya dhiki sana wakati wa magharib ,hata sijui nini kwanini najaribu kumlani shetwani .sasa naomba munisaidiye na dua ipi ambayo nitaisoma iniodoshe hiyo dhiki na wasi wasi.naomba usaidizi wenu
Maswali: Taqwa - Tazkiyyah
SWALI:
Naomba muniandikie dua ambayo itanisaidia mie wakati ninapoingia chumba cha kufanyia mtihani iwe rahisi kwangu kufanya mtihani wangu darasani bila ya kubabaika na kujibu maswali yote bila ya matatizo. Jazakakumul llah khaira