Sababu Za Kuwa Na Miezi Mitukufu
SWALI
nilikuwa na masuala yafuatayo.
katika kuran tukufu suratul tawbah aya 35 kumetajwa kuhusu miezi mitukufu nayo ni 4,dhul qaidah(huu uloanza leo),dhul hijjah,muharam na rajab. sualalangu,nataka kujua a)jee kuna kisa gani kulitokea mpaka ikawa mitukufu hiyo miezi.b) kuna ibada za sunna za kufunga ktk miezi hii,jee zikoje duas za kuomba n.k