Imaam Ibn Taymiyyah
Imaam Ibn Taymiyyah
Ingelikuwa Maulidi Ni Thawabu Swahaba Wangekuwa Na Haki Zaidi Kututangulia
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)
Zawadi Hazifai Kupokelewa Wala Kutoa Katika Sherehe Zisizokuwa Za Kiislamu
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)
Kung’ang’ania (Ta’asswub) Kumpenda Imaam Mmoja Na Kuwacha Wengineo
Imaam Ibn Taymiyyah
Amesema Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah):
Atakayekuwa na ta’asswub (kung’ang’ania) kumpenda mmoja kati ya Maimamu akawaacha wengineo ni kama vile kafanya ta’asswub kwa Swahaba mmoja na kawaacha wengine.
Tawassul Na Adhkaar Zisizokuwa Za Sunnah Hazipasi Kufundishwa Wala Kuzisoma
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)
Kutamka Niyyah Katika ‘Ibaadah Ni Upungufu Katika Akili Na Dini
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah)
Amesema Shaykhul-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah):
Kutamka niyyah ni upungufu katika akili na Dini.
Kuhusisha Rajab Na Sha’baan Kwa Swawm Na I’tikaaf Hakuna Dalili
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah)
Swalaatur-Raghaaib Haina Asili Bali Ni Bid’ah
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah)
Kuadhimisha Mwezi Wa Rajab Na Kuufanya Ni Musimu Wa Swawm Ni Bid’ah
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah)
Shaykhul-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah) amesema:
“Kuadhimisha mwezi wa Rajab ni katika mambo ya uzushi ambayo yanapaswa kujiepusha nayo. Na pia kuufanya mwezi wa Rajab kuwa ni musimu wa Swawm ni makruwh kama alivyosema Imaam Ibn Ahmad (Rahimahu-Allaah) na wengineo.” [Iqtidhwaa Asw-Swiraatw Al-Mustaqiym (2/624-625)]