Maswali: Aqiydah Ahlul-Kitaab
Nani Aliyesulubiwa Badala ya Nabiy 'Iysaa ('Alayhis-Salaam)?
SWALI:
Assalaam alaykum,
Bismillahi Rahman Rahim.
Namshukuru ALLAH kwa yote na kumtakia rahma na salam Mtume (SAW). Naomba kuuliza kuhusu hii dhana ya kifo cha Nabii Issa (AS) Walionayo wenzetu.