<?xml encoding="utf-8" ?>
Kauli Za Salaf: ‘Ilmu-Da’wah
‘Ilmu-Da’wah
<?xml encoding="utf-8" ?>
Kila Elimu Iliyo Na Mwongozo Wa Khayr Na Kuhadharisha Na Maovu Ni Elimu Yenye Manufaa
Imaam As-Sa’dy (Rahimahu Allaah)
Imaam As-Sa’dy (Rahimahu Allaah) amesema:
Kila elimu ambayo ndani yake mna mwongozo na hidaaya ya njia ya khayr, na tahadharisho la njia za shari au njia yenye kupelekea huko, basi hiyo ni miongoni mwenye elimu yenye manufaa.”
Ingelikuwa Si Kuogopa Adhabu Ya Allaah Kuficha ‘Ilmu Nisingelimfutu Mtu
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
Amesema Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah):
“Isingelikuwa hizaya kuficha 'ilmu na kuogopa adhabu ya Allaah, nisingelimfutu yeyote (nisingelitoa Fatwa kwa mtu) lakini natoa Fatwa kutaraji kusalimka nayo.”
[Majmuw’ Al-Fataawaa (26/419]
<?xml encoding="utf-8" ?>
Kutafuta ‘Ilmu Ni Amali Bora Kabisa Kwa Aliyesahihisha Niya Yake
Imaam Ahmad Bin Hanbal (Rahimahu Allaah)
Eneza Elimu Iendelee Baada Ya Kufariki Kwako
Imaam Ibn Al-Jawziy (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn Al-Jawziy (Rahimahu Allaah) amesema:
Anayependa ‘amali zake zisikatike baada ya kufariki kwake, basi aeneze elimu.
[At-Tadhkirah: 55]
Swadaqah Iliyo Bora Ni Kumfunza Jahili Au Kumzindua Aliyeghafilika
Imaam Al-Haafidhw Ibn Rajab (Rahimahu-Allaah)
Imaam Al-Haafidhw Ibn Rajab (Rahimahu-Allaah) amesema:
“Swadaqah iliyo bora kabisa ni kumfunza (Dini) aliye jahili (mjinga asiyejua mambo ya Dini yake), au kumzindua aliyeghafilika (mbali na Allaah),”
[Majmuw’ Ar-Rasaail (1/187)]
<?xml encoding="utf-8" ?>
Kujifunza ‘Ilmu Usiku Ni Bora Kuliko Kukesha Muda Mwingi Kwa Swalaah
Ibn ‘Abbaas (Radhwiya Allaahu ‘Anhumaa)
<?xml encoding="utf-8" ?>
Kusoma ‘Ilmu Kisha Kuifundisha Ni Bora Kuliko Dunia
Imaam Hasan Al-Baswriy (Rahimahu Allaah)
<?xml encoding="utf-8" ?>
Elimu Ni Funguo Za Furaha Duniani Na Aakhirah
Elimu Ya Kumjua Allaah Ni Msingi Wa Elimu Zote
Imaam Ibn Al-Qayyim Al-Jawziyy (Rahimahu Allaah) amesema: