Wanaomtii Allaah Na Rasuli Wake Wakathibitika Katika Haki Ndio Vipenzi Vya Allaah
Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) amesema:
Kila anayemtii Allaah na Rasuli Wake na akathibitika katika haki basi huyo ni miongoni mwa vipenzi vya Allaah.