Mwenye Akili Avute Subira Katika Majaribio Ya Allaah ('Azza wa Jalla)
Imaam Ibn Al-Jawziy (Rahimahu-Allaah)
Amesema Ibn Jawziy (Rahimahu Allaah):
Dunia imewekwa kwa ajili ya majaribio, basi inampasa mwenye akili aikite nafsi yake juu ya subira.
Taqwa-Ikhlaasw

Kufuzu Kwa Hakika Ni Kuwekwa Mbali Na Moto Na Kuingia Jannah
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
Hutopata Mfano Wa Qur-aan Kukutibu
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:
Iweke Dunia Mkononi Mwako Na Si Moyoni Mwako
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amesema:
Miongoni Mwa Sababu Za Usalama Wa Moyo Kutokujishughulisha Na Mambo Ya Dunia
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amesema:
“Miongoni mwa sababu za usalama wa moyo ni kutokuushughulisha moyo wako na mambo ya dunia.”
Mitihani Na Majaribio Huzunguka Baina Ya Watu
Jitahidi Na Kimbilia Kufanya Khayr Kila Mlango Wa Khayr Unapokufungukia
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:
“Inampasa Muislamu awe anajitahidi kukimbilia khayr kila unapomfungukia mlango wa katika milango ya khayr.”
Normal
0
-->