Maasi-Maovu

Maasi-Maovu

Maasi-Maovu

 

Madhambi Makubwa Na Madogo

 

Alhidaaya.com

 

 

 

Madhambi Makubwa:

 

 

Madhambi makubwa ni yale ambayo yametajwa katika Qur-aan na Sunnah za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) nayo ni yale ambayo mja anapoyafanya huwa na hukmu zifuatazo:

 

 

  (i)  Madhambi ambayo Allaah Anaalaani kitendo chake.