Siku Za Kiislamu Zinaanzia Saa Ngapi?
Swali:
Siku kwa waislam inaanza na kwisha saa ngapi?
Jibu:
Fiqhi
Siku Za Kiislamu Zinaanzia Saa Ngapi?
Swali:
Siku kwa waislam inaanza na kwisha saa ngapi?
Jibu:
Nguzo Za Fardhi Za Kiislaam Zimefaridhiwa Lini?
Swali:
Naomba kujua tarehe za kufaradhishwa kwa nguzo tano za Kiislam.
Nawatakia kila la kheri
Jibu:
AlhamduliLLaah - Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aalaa) Rabb wa walimwengu, Swalaah na salamu zimshukie Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhwiya Allaahu 'anhum) na waliowafuata kwa wema mpaka Siku ya Mwisho.
Kufuata Rai Katika Mas-ala Ya Dini
Swali:
Ndugu zangu, Assalaam alaykum,
Katika kujibu swali linalohusu "Mas-hul-khufayn" Mlijibu kama kuna tafauti ya Rai miongoni mwa ‘Ulamaa. Katika kuendelea kujibu swali hilohilo mlielezea kama katika masaala ya ibada Dini yetu hii haiendi na Rai zetu bali ni juu yetu kufuata alivyofanya mtume Muhammad (swalla allahu alayhi wa sallam).
Amefiwa Na Ndugu Yake Akiwa Mbali, Anaweza Kumswalia Swalaatul-Ghayb?
Swali:
Ndugu yangu kafa lakini mimi sinipo naweza kumsaliya mahali nilipo?
Jibu:
Imaam Asiyesoma Vizuri Qur-aan Anafaa Kuswalisha?
Swali:
Assalamu Alaykum,
Imamu ambaye hasomi vizuri Qur-an kiasi ambacho hawezi kusalisha Swala za Jahra (Magharibi, Isha na Asubhi), jee anaweza kutusalisha katika Swala za siri kama vile Adhuhuri na Alasiri?
Jibu:
Kumuadhinia Maiti Anapozikwa Inajuzu?
Swali:
Wakati wa kuzika maiti watu wengine wanawa adhiniya maiti inafaa.
Jibu:
AlhamduliLLaah Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Rabb wa walimwengu, Swalaah na salamu zimshukie Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhwiya Allaahu 'anhum) na waliowafuata kwa wema mpaka Siku ya Mwisho.