Maswali: Wanawake

Wanawake

Maswali: Wanawake

Mwanamke Kujipamba Mbele Ya Shemeji Au  Wasiokuwa Maharimu Zake

 

SWALI:

Asalam alykum samahani saaaaaaana kwa usumbufu wowote utakaotokea kwa suali hili .

 

mimi nauliza nimeambiwa usioneshe mapambo yako mwanamke unapotoka sasa mimi niko ndani kwangu na nakaa na shemegi zangu au shemegi yangu na mume wangu ametoka sasamimi nikajipamba na kumsubiri mume wangu arudi kazini na kujipamba kwangu pengine ni kujitia manukato au rangi ya mdomo na nguo ambazo za stara kwa vile  muna watu nimevaa sasa mimi sipati dhambi wao wanapo niona na zile rangi usoni  na kunisikia harufu. na pia kaja mtu nnae mfaham ambae ni jamaa wa mume wangu  nikamfungulia mlango na hali nimejipamba kama hvo mwanzo pia sipati dhambi akiniona  na mimi niko kwangu

 

JIBU:

 

AlhamduliLLaah Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Rabb wa walimwengu, Swalaah na salamu zimshukie Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhwiya Allaahu 'anhum) na waliowafuata kwa wema mpaka Siku ya Mwisho